Gameweek 20 & 21 | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
Description
Support Us:
https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania
Kwenye episode hii tumefanya pamoja na FPL Tanzania Scouts Ipy & Pio ili kuweza kuongelea gameweek ya 20 na 21 kwa pamoja. Tumepitia kila mechi na kugusia potential assets na pia all important captain picks for these back to back game weeks ahead of us. Enjoy!
About Us:
FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!
Follow our accounts on:
https://twitter.com/fpltanzania
https://twitter.com/mkali_1
https://twitter.com/ericbaisi
Code ya “FPL TANZANIA” mini league ni alsp78